Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Dira, Dhamira na Misingi Mikuu

Dira
Nchi yenye huduma za Usafiri Ardhini zilizo salama, za uhakika na rafiki kwa mazingira

Dhamira
Kusimamia huduma za Usafiri Ardhini  kwa kutoa leseni, kuzifuatilia na kukuza ushindani kwa ajili ya ustawi wa Watanzania

Misingi Mikuu

a) Uweledi
Tunaonesha maarifa, ujuzi na mtazamo chanya kwenye kazi zetu


b) Uwajibikaji
Tunajitahidi kuwajibika kwa matendo yetu;


c) Kufanya kazi kwa pamoja
Tunafanya kazi kwa pamoja ili kufikia malengo yetu tuliyojiwekea;


d) Uadilifu
Tuna uaminifu na uadilifu katika kuwahudumia wadau wetu;


e) Uwazi
Tunatekeleza majukumu yetu kwa uwazi na kwa ushirikiano; na


f) Ubunifu
Tunajitahidi kutafuta njia bora za kuongeza thamani ya huduma zetu.


 

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo