Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

IDARA YA USIMAMIZI WA VYOMBO VYA USAFIRI WA RELI

Idara ya Usimamizi wa Vyombo vya Usafiri wa Reli inatekeleza kazi zifuatazo;: -

  • Kusajili na kuwaidhinisha waendeshaji wa treni;
  • Kuandaa, kupitia na kufuatilia utekelezaji wa viwango na kanuni za usalama wa vyombo vya usafiri wa reli;
  • Kufuatilia utekelezaji wa mifumo ya usimamizi wa usalama wa vyombo vinavyotoa huduma ya usafiri wa reli vinavyomilikiwa na watoa huduma za reli;
  • Kutoa ushauri kwa watoa huduma kuhusu vyombo vya usafiri wa reli vinavyofaa;
  • Kuchunguza ajali na matukio yanayohusiana na vyombo vya usafiri wa reli;
  • Kutoa leseni na vibali vya matumizi ya vyombo vya usafiri wa reli; na
  • Kuthibitisha ubora wa usalama wa vyombo vya usafiri wa reli.
  • Kuidhinisha matumizi ya vyombo vya usafiri wa reli kabla ya kuanza kutumika.
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo