Kazi
Kurugenzi inafanya kazi zifuatazo: -
- Kufuatilia uzingatiaji wa udhibiti uchumi wa usafiri ardhini
- Kuandaa viashirio vya utendaji kazi kwa watoa huduma pamoja na viwango vya huduma zinazotolewa,
- Kuandaa nauli na tozo ;
- Kufanya uchambuzi wa mara kwa mara wa mwenendo na maendeleo yanayohusu sekta ndogo za barabara na reli;
- Kuandaa Mpango Mkakati wa Mamlaka, Mpango wa Mwaka na Mpango wa Biashara;
- Kuratibu utekelezaji wa Mfumo wa Usimamizi wa Vihatarishi wa Mamlaka;
- Kuhuisha na kuchambua takwimu za udhibiti na usambazaji wa taarifa kwa wakati;
- Kuratibu mkataba wa utendajikazi na Msajili wa Hazina, Katibu Mkuu wa Wizara mama;