Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma

Kitengo kinafanya kazi zifuatazo;

 • Kuandaa na kupitia mikakati/mipango ya mawasiliano;
 • Kutoa elimu kwa umma kuhusu shughuli za Mamlaka;
 • Kukuza taswira nzuri ya Mamlaka;
 • Kusimamia mikutano ya washikadau kuhusu shughuli za Mamlaka;
 • Kuratibu malalamiko na maoni yanayopokelewa kutoka kwa majukwaa mbalimbali, kuyawasilisha kwa Kurugenzi/Vitengo husika kwa hatua zinazofaa;
 • Kusimamia usambazaji wa taarifa kwa wadau husika (umma, vyombo vya habari)
 • Kusimamia itifaki na utaratibu unaohusiana na wageni/ziara rasmi za Mamlaka;
 • Kusimamia ushiriki wa vyombo vya habari kwa Mamlaka;
 • Kusimamia Tovuti na maudhui ya mitandao ya kijamii ya Mamlaka;
 • Kutayarisha hotuba mbalimbali, makala za habari na Machapisho;
 • Kusimamia vyombo vya habari vya kielektroni kwa ajili ya Mamlaka; na
 • Kusimamia shughuli za hisani kwa jamii 
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo