13 Oct, 2023
3:00 asubuhi
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi kutoka kampuni tatu (3) zinazotoa huduma ya usafiri wa abiria wa masafa marefu; Super Feo Enterprises, ABC Upper Class and Transportation Ltd na Happy Nation Co. Ltd, wakiiomba Mamlaka kufanya marejeo ya nauli za mabasi kutokana na ongezeko la gharama za uendeshaji, ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta (petroli na diseli). Mapendekezo ya kampuni hizo ni kuongeza nauli ya sasa ya Shilingi 56.88 kwa kilometa 1 kwa kila abiria kama ifuatavyo;