Imewekwa: 18 Oct, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini(LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za daladala manispaa ya Morogoro,ili kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;-