Imewekwa: 23 Jul, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya Manispaa ya Morogoro, ili kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;