Imewekwa: 23 Oct, 2023
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawataarifu wasafirishaji kuwa imeongeza nafasi ya magari 15 kuweza kuomba leseni kwenye njia tajwa hapo chini, ili kuendelea kufikisha huduma karibu na wananchi na kupunguza adha ya usafiri.