Imewekwa: 06 Oct, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya ya Daladala Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;