Imewekwa: 13 Dec, 2024
Wizara ya Uchukuzi kwa mujibu wa kifungu cha 45 cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, Sura ya 413, inapenda kuwataarifu Wadau wote wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuwa, kutakuwa na Kikao cha Wadau kwa ajili ya kupokea maoni kuhusu Mapendekezo ya Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini ambazo ni:- Soma zaidi