ENGLISH
KISWAHILI
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini
Piga Bure : 0800110019/0800110020
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Sisi ni nani
Dira, Dhamira na Misingi Mikuu
Wadau
Kazi za Mamlaka
Uongozi
Muundo wa Taasisi
Bodi ya Wakurugenzi
Menejimenti
Kurugenzi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Barabara
Kurugenzi ya Usalama wa Mazingira
Kurugenzi ya Udhibiti Uchumi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Reli
Kurugenzi ya Huduma za Mamlaka
Idara
Idara ya Leseni za Biashara
Idara ya Ufuatiliaji Barabara
Idara ya Uthibitishaji Madereva na Usajili wa Wahudumu
Idara ya Uratibu Usalama na Mazingira.
idara ya Miundombinu ya Reli
Idara ya Vyombo vya Usafiri wa Reli
Idara ya Umeme na Mawasiliano
Idara ya Utafiti na Takwimu za Usafirishaji
Idara ya Ushindani na Tozo
Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini
Idara ya Fedha na Uhasibu
Idara ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala
Vitengo
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma
Kitengo cha Huduma za Sheria
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Kitengo cha TEHAMA
Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
Sheria
Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na baadhi ya Kanuni za LATRA
Sheria
Kanuni
Rasimu za Kanuni za Watoa Huduma Binafsi za Usafiri wa Reli za Mwaka 2023
Usafiri Barabara
Usafiri Reli
Taratibu
Usafiri wa Barabara
Usafiri wa Reli
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Elimu kwa Madereva
Picha Mnato
Picha Jongefu
Hotuba
Makala
Machapisho
Masijala ya Umma
Taarifa kwa Abiria
Majarida
Takwimu
Taarifa za Robo Mwaka
Taarifa za Mwaka
Tafiti
Taarifa ya Mwaka
Mpango Mkakati
Maagizo & Notisi
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Watoa Huduma za Teksi Mtandao
Vigezo na Masharti ya Mhudumu wa Mabasi
Huduma Mtandao
RRIMS
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Tiketi Mtandao
Masijala Mtandao
Maktaba Mtandao
Nauli
Daladala
Mabasi ya Njia Ndefu
Teksi Mtandao
Treni ya SGR
LATRA App
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
CPA Habibu Suluo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani amefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.
Bw. Ludovick Nduhiye, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi (aliyeketi kushoto), kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya LATRA alipotembelea makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) jijini Dodoma, ziara hiyo ya siku moja imefanyika katika ukumbi wa sakafu ya 8 Jengo la Mkandarasi Septemba 09, 2024.
Bw. Kiseo Yusuph Nzowa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro akimuwakilisha Mgeni Rasmi Mhe. Nurdin Hassan Babu Mkuu wa Mkoa- Kilimanjaro amekabidhi cheti cha Uwakala wa Kutoa leseni za LATRA kwa Chama cha Ushirika cha Mikopo na Akiba cha Bajaji na Bodaboda mkoani Kilimanjaro (KIBABOT SACCOS) Septemba 03, 2024.
Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeitembelea Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa lengo la kubadilishana uzoefu na namna LATRA inavyodhibiti usafiri ardhini nchini, katika ofisi za LATRA ukumbi wa mikutano gorofa ya 8 jengo la Mkandarasi Place jijini Dodoma.
Bw. Abdallah Mhagama, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA, akizungumza jambo katika ziara ya Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyofanyika ukumbi wa mikutano gorofa ya 8 jengo la Mkandarasi Place jijini Dodoma Agosti 29, 2024.
Mhe. Yahya Rashid Abdallah, Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, akiongoza kamati hiyo walipotembelea Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), katika ziara ya siku moja, jijini Dodoma Agosti 29, 2024.
.
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa Tuzo ya mshindi wa jumla na ya wasafirishaji wakati wenye mabasi 11 hadi 30 kwa TILISHO CO.LTD katika ufunguzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani uliofanyika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma Agosti 26, 2024.
Mhe. Daniel B. Sillo (Mb),Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ametoa tuzo ya Mshindi wa pili kwa wenye mabasi 11 hadi 30 kwa SATCO EXPRESS katika ufunguzi wa wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani uliyofanyika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma Agosti 26, 2024.
CPA Habibu Suluo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) akitoa pongezi kwa Bw. Hemedi Bendera baada ya kupokea Cheti cha Utambuzi cha Chama cha Ushirika na mikopo cha watoa huduma wa bajaji za abiria na bodaboda mkoani Kilimanjaro (KIBABOT SACCOS) cheti hicho kimetolewa na Mhe. Daniel B. Sillo (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (wa pili kushoto) katika ufunguzi wa wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani Agosti 26, 2024.
Previous
Next
CPA Habibu J. Suluo
Mkurugenzi Mkuu
Wasifu
|
Karibu
Habari Mpya
Tazama Zaidi
LATRA YASITISHA LESENI YA USAFIRISHAJI KWA KATARAMA LUXURY
13 Sep, 2024
ABOOD, SUPER FEO, NA BM WAPEWA SIKU SABA KUJIREKEBISHA
13 Sep, 2024
BW. NDUHIYE: AITAKA LATRA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MABORESHO YA SERA YA TAIFA YA USAFIRISHAJI
10 Sep, 2024
MHE. ABDALLAH: AIPONGEZA LATRA KWA UBORA NA UFANISI WA HUDUMA
30 Aug, 2024
Matukio
Tazama Zaidi
05
Jun 24
Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau kuhusu Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na Baadhi ya Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
04
Jun 24
Hafla ya Pili ya Utoaji vyeti kwa Madereva Waliothibitishwa
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
05
Dec 23
16th Joint Transport Sector Review Meeting
PAPU Tower-Arusha
19
Oct 23
Mkutano wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Wahariri wa Vyombo vya Habari
Golden Jubilee Tower, Dar es Salaam
Matangazo
Tazama Zaidi
Njia Mpya za Usajili wa Leseni Mkoa wa Pwani
29 Aug, 2024
Taarifa Fupi ya Mkurugenzi Mkuu LATRA Kuhusu Tuzo ya Msafirishji Bora mwaka 2024
28 Aug, 2024
Usajili wa Wahudumu wa Mabasi kwa Mujibu wa Sheria
14 Aug, 2024
Tuzo za LATRA kwa Wasafirishaji Bora na Salama kwa Mabasi ya Mikoani na Nchi Jirani 2023/2024
09 Aug, 2024
Njia Mpya za Usajili wa Leseni Mkoa wa Pwani
30 Jul, 2024
Nifanyaje?
Tazama Zaidi
Kuchapa Leseni Kiganjani
Kujisajili kwenye Mfumo wa RRIMS
Kusajiliwa na Kuthibitishwa (Wahudumu na Madereva wa Vyombo vya Moto Kibiashara)
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Mabasi Maalum ya Kukodi
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Teksi za Kawaida /Teksi Mtandao
Huduma Mtandao
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Mfumo wa Kutahini Madereva
RRIMS
Tiketi mtandao
Dirisha la Wasafiri
Abiria Funga Mkanda
Mrejesho
Mrejesho, Malalamiko au Wazo
Wasilisha